juu

Thursday 6 June 2019

Skyner: Sina Muda na Wanaume

MREMBO mwenye figa matata aliyepata umaarufu kupitia Bongo Movies, Skyner Ally ‘Skaina’ ameweka wazi kuwa, hana muda wa kupoteza kuwafikiria wanaume kwani akili yake inawaza biashara tu.

 

Akizungumza na Amani, Skyner alisemaa alichojipangia kwa sasa maishani mwake, badala ya kupiga soga, umbeya, majungu na wanaume, anajishughulisha katika biashara zake ikiwemo ya nguo.

 

“Mimi mwili wangu siwezi kuutumia kwa wanaume, niko zangu bize na biashara hata huo muda wa kufanya mambo ya kipuuzi sina,” alisema Skyner ambaye ni mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego.’

The post Skyner: Sina Muda na Wanaume appeared first on Global Publishers.


Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger