juu

Wednesday, 12 June 2019

ATHARI ZA UFIRAJI (KUMFANYA KINYUME NA MAUMBILE)

mimi huwa sina tabia ya kutisha watu au kuwakataza bali najaribu kueleza ukweli kisha wewe kama mtu mzima utaamua nini cha kufanya kwani naamini kabisa kuwa sote ni watu wazima na tuna akili timamu na tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni our choice.Kufanya...
Share:

Mama kuwa makini House Girl Yaweza Kuwa Mke Mwenzio

Hivi ni vibaya House girl kuolewa na baba mwenye nyumba? Ndugu msomaji wa Muungwana Blog, karibu kwenye makala hii maalumu, nimeamua kuandika habari hii ili kujaribu kupunguza mifarakano kwenye familia zetu especially familia zenye wafanyakazi wa ndani wanaojulikana kama house girl. Katika mada...
Share:

YAJUE MAMBO MANNE YA KUFANYA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA TENDO LA NDOA!

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia siha njema na pia kwa kunipa mwangaza wa kuandika hiki ninachokusudia. Pia niwashukuru wapenzi wasomaji wa safu hii ambao tumekuwa tukiwasiliana na kushauriana hili na lile katika tasnia hii adhimu ya mapenzi. Nawakaribisha sana! Labda kwa wale wasiofahamu...
Share:

Zitambue Dalili za Mwanamke Anayetaka Kuachana Nawe Katika Mahusiano

Kuna tofauti kubwa ya kimaamuzi kati ya mwanaume na mwanamke kwenye suala la kuachana. Inaelezwa kwamba, wanaume ni rahisi kuamua ndani ya dakika moja na kutangaza kuvunja uhusiano, lakini kwa wanawake maamuzi yao mara nyingi hutanguliwa na dalili, ingawa hata wanaume nao wanazo. Uchunguzi unaonesha...
Share:

Utafiti: Wanawake Wanapenda Kufanya Tendo la Ndoa Kwenye Mazingira Haya

Inaeleweka kuwa wapendanao iwe wanandoa au wapenzi hupenda kufanya mapenzi sehemu yenye mwanga hafifu au gizani. Tofauti na watu na mataifa mengine, kwa Waafrika suala hilo ni siri na linahitaji faragha kukamilika. Lakini kwa baadhi ya watu imekuwa kero kutokana na kutamani kufanya tendo hilo gizani,...
Share:

Jinsi ya kumpata mpenzi wa kweli

Kuwa msichana Weka kazi yako binafsi na elimu yako kando. Wanawake wengi wanapokuwa kwenye miadi hupenda kutumia elimu na madaraka yao kulumbana na wenzi wao kupita kiasi. Hupaswi kufanya hivyo, badala yake unatakiwa kujua kwamba hapo mpo kwenye pambano la ngumi au malumbano ya hoja. Angalia juu...
Share:

Huu Ndio Utundu Komesho Kwa Mwanamke Kitandani

Karibuni katika somo jingine ndugu wapenzi wa Elimu Kuhusu Mapenzi na Mahusiano kumekuwa na maombi kama huwezi kumfikisha mwanamke kileleni basi unausika katika hili somo!!!!…Wengi wakitaka kujua ni namna gani ya kumfikisha mwanamke kileleni kwa kuzani hawana nguvu za kuhimiri kufanya tendo kwa...
Share:

Njia Sita za Kumnasa Demu Mkali…

KUNA watu wamezaliwa wakiwa na hofu kubwa ya kuwaogopa mademu wazuri. Kuna mwingine akimuona demu mzuri mtaani, anajisemea kabisa kwamba; yule si taipu yangu, eti kisa kapendeza, msafi na anaonekana matawi fulani ya juu. Mwanaume anatakiwa kujiamini, hakuna mwanamke duniani ambaye si saizi yako,...
Share:

Mambo yatakayomfanya mpenzi wako asikuache kamw

Upendo ni kitu ambacho hakizuiliki. Napale patakaposhikilia ule upendo ipasavyo ndo husikii wala huoni utakaloambiwa juu ya akupendaye. Matendo mbalimbali yanayofanywa na wale wapenzi moja kwa moja huchochea upendo wa moyoni ambao hudumu milele, ndio hapo utasikia keshapewa madawa, mara mke wake...
Share:

Mambo ya kuzingatia wakati wa kuchagua mpenzi

Unapotafuta mpenzi wa kuishi  naye unatakiwa kuzingatia mambo yafutayo;Chagua mtu mwenye msimamoMuda aliotumia mpenzi wako kudumu katika uhusiano wake uliopita unaweza kukupa ishara ya nguvu ya mtu kudumu na wewe; Unaweza kutumia njia hii kama kipimo cha matarajio ya uhusiano wenu mpya. Ikiwa,...
Share:

Jinsi ya kumsahau mpenzi wa zamani pasina gharama kubwa

Habari ndugu msomaji wa makala zangu katika kijiwe cha mapenzi  , karibu tena siku ya leo tuweze kujifunza zaidi kuhusu Ndoa na Mahusiano, leo tutazungumzia mahusiano.Mahusiano ni sehemu kubwa sana katika kufanikiwa au kutokufanikiwa kwenye maisha yako, kama hauko kwenye mahusiano mazuri...
Share:

Sababu za wanaume wengi kukimbiwa na wanawake

Imezoeleka katika jamii kwamba wanaume hukimbiwa na wanawake kwa kukosa kipato au alichonacho ni kidogo, au muonekano na maumbile ya mwanaume bila kuzingatia kwamba wanawake huangalia vitu vingine zaidi ili kugundua kama wanaweza kuishi na aina hiyo ya mwanaume.Zifuatazo ni sababu  zinazowafanya...
Share:

Fahamu jinsi ya kupata mpenzi bora

Unapochagua mpenzi wa maisha unatakiwa kuhakikisha unachagua mpenzi ambaye mtaendana naye kitabia, wengi wa wanawake na wanaume wengi wao utawasikia wakisema mimi nataka mpenzi asiye mlevi wakati huo yeye mwenyewe ni mlevi, kwa kufanya hivi kama utapata mpenzi, ni lazima mapenzi hayo hayatadumu...
Share:

Njia nyepesi ya kukonga moyo wa mwanamke pasipo gharama

Mawasiliano mazuri kati ya mke na mme ni muhimu sana kwa ajili ya ustawi wa mahusiano ya wawili wapendanao. Inasemwa kuwa kuvunjika kwa mawasiliano pekee katika mahusiano kunasababisha mifarakano au kuvunjika kwa mahusaiano kati ya mke na mme kuliko sababu nyingine.Wataalamu wa mapenzi na hisia...
Share:

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © 2025 juu | Powered by Blogger