juu

Saturday, 30 November 2019

Jinsi Ya Kumsisimua Mwanamke Kabla Ya Kulala Naye

Unapaswa kumsisimua kuanzia nafasi ya kwanza ambayo utaipata kutoka kwake. Kufanya hivyo kutamfanya akutake hata zaidi na kumfanya ajiandae na mapema kabla hata kulala naye. Lakini ni mbinu gani inayoweza kutumika kumsisimua mwanamke kabla hamjalala pamoja?Zama nami…Kutumia manenoManeno yanaweza kumsisimua...
Share:

Ili Mpini usimame vizuri ni lazima:🔥 🔥

Mfumo wako wa neva uwe na afya nzuri inayopelekea mpwito neva (nerve impulses) katika ubongo, uti wa mgongo na uume.Mishipa ya ateri iliyo na afya ya ndani na iliyo karibu na corpora cavernosaMisuli laini yenye afya na tishu za ufumwele (fibrous tissues) ndani ya corpora cavernosaKiwango sahihi cha...
Share:

Mambo muhimu ambayo ukimfanyia mpenzi wako yatazidisha mapenzi na kuongeza furah

katika Mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia Mpenzi wako ukamfurahisha na kumfanya azidishe Mapenzi ila katika safu hii nitazungumzia Mambo machache muhimu yatakayokusaidia kuboresha na kudumisha penzi lako kwa umpendae KARIBU:YAFUATAYO NI MAMBO MUHIMU YANAYOZIDISHAUPENDO: 1.KUMNUNULIA ZAWADI...
Share:

Jinsi gani ya kuongea na msichana bila kupungukiwa Swaga

Jifunze jinsi ya kuongea na msichana bila kupungukiwa na swaga, bila ya kujali upo wapi. Unachohitaji ni hivi vitu 10 hapa kufanya maajabu na kumteka!.Mfate alipoMoja ya vitu ambavyo ni vigumu kwa wanaume wengi kufanya ni kumfata msichana anayemtaka kwa mara ya kwanza.Kuchati na mwanamke ni kitu...
Share:

SMS-TAMU-MPYA-ZA-MAHABA

SMS ya mapenzi ya mahaba kwa mpenzi wako aliyeko mbali Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha,mimi si ‘Supamani’ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchinyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipata hiyo? Pokea mapenzi yangu japo uko mbali. 🔥♥♥♥ Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia...
Share:

Ukiona Dalili Hizi Ujue Mpenzi Wako Anachepuka

Mapenzi ni matamu lakini huingia shubiri pale mambo yanavyoenda mrama. Je umekaa kwenye uhusiano na mumeo/mkeo/ mpenzi wako kwa muda mrefu kwa raha na amani lakini ghafla unaanza kuona mambo yanabadilika?Wanawake wengi na wanaume wengi hawataki kuamini yule umpendaye anaweza akachepuka lakini ndio...
Share:

Athari Za Mapenzi Mahala Pa Kazi

Endapo wewe unakuwa ni mfanyakazi basi sehemu kubwa ya maisha yako baada ya kuajiriwa itakuwa ni eneo lako la kazi, muda mwingi utakuwa ukikaa na wale wanaokuzunguka zaidi ofisini kuliko nyumbani.Kuna baadhi hata ya tabia zinaweza kuwa zinajulikana sana na wafanyakazi nwenzako kuliko hata familia...
Share:

Umuhimu wa Tendio la Ndoa Kiafya

Wataalamu wanasema kuna umuhimu kubwa kwa mwanadamu kufanya tendo la ndoa kwa ajili ya kuimarisha afya yako,kwanza kabisa inapunguza mafuta mwili lakini pia inasemekana kuwa endapo mtu anafanya tendo la ndoa mara tau kwa wiki ndani ya mwaka mzima ni sawa na kukimbia maili75,tendo la ndoa uongeza...
Share:

Jinsi Unavyoweza Kujua Uko Kwenye Mahusiano Hatarishi.

Sio kweli kuwa watu wanaokaa muda mrefu katika mahusiano ndio wanaweza kukumbana na uhatari katika mahusiano , wapo ambao wamekuwa wakianzisha mahusiano kwa maslahi yao binafsi lakini wenzi wao wanapata tabu kujua kwa sababu wanakuwa tayari wameshapenda.Hata kama mmekuwa na mahusiano kwa muda wa...
Share:

Mambo 5 Ya Kufanya Ili Mpenzi Wako Azidi Kukupenda

Mapenzi ni kitendawili lakini ukiyapatia yanaweza kuwa matamu sana. Lakini mapenzi yanahitaji kazi unahitaji kujitahidi kuyajenga kila siku ili yasiyumbe wala kubomoka hasa ukiwa kwenye ndoa au mahusiano.Mkiwa wawili kwenye mahusiano kwa muda mrefu suala la kuchokana lipo na ni muhimu sana kuhakikisha...
Share:

SMS Za kumsihi mpenzi wako asikuache

SMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishinawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu,kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi 🔥♥♥♥ Meseji nzuri ya kimahaba ya salamu kwa mpenzi Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa...
Share:

hatua ya kuamua kuelekea marafiki wapya

Maisha ya kisasa ni ya kuchemsha, yenye kupumua na haikuruhusu kuacha. Hii ndio wakati wa teknolojia ya kisasa, kasi ya haraka na habari za haraka za umeme. Tunakula chakula cha haraka, tunauvaa nguo kwa mtindo wa haraka na kujifunza msaada wa kasi ya dating. Maana ya tukio hilo ni ziara ya haraka,...
Share:

Jinsi ya kujishughulisha na uhusiano mpya wa upendo

Uhusiano kati ya wanaume na wanawake huanza na urafiki. Usijijikeze, kwamba katika uhusiano wa kimapenzi kila kitu kitakuwa njia yako. Usiache juu ya marafiki wapya tu kwa sababu ulifikiwa mahali tofauti na haukufikiri kuwa ni heshima. Usiogope kutokuwa na uhakika au kinyume chake. Ujuzi na mtu ambaye...
Share:

Hiki ni kitu muhimu kwa kila mwanamke kukizingatia

WENGI kati ya wasichana walio katika ndoa ama mahusiano ya muda mrefu ni wepesi sana kujihusisha na vitendo vya usaliti. Hii ni tafiti rasmi. Ni tafiti inayokera na kuumiza ila huo ndiyo ukweli.Siku kadhaa nyuma niliwahi kulijadili hili suala katika namna ya kuwaasa wanaume kuwa makini na kuacha kuishi...
Share:

Zifahamu njia za kudumisha uhusiano wako

Mahusiano ya mapenzi yamekuwa moja ya jambo linalolalamikiwa sana na vijana wengi huku wengi wakisema katika dunia ya sasa hakuna mapenzi ya kweli huku wengine wakisema usaliti na kuumizana kumekuwa na nafasi kubwa zaidi kuliko wale ambaowanakuwa na mipango ya dhati na mambo mbalimbali yametajwa...
Share:

Maneno 4 Rahisi Lakini Muhimu Ambayo Mke Anahitaji Kusikia Kila Siku

Mawasiliano mazuri kati ya mke na mme ni muhimu sana kwa ajili ya ustawi wa mahusiano ya wawili wapendanao. Inasemwa kuwa kuvunjika kwa mawasilioano pekee katika mahusiano kunasababisha mifarakano au kuvunjika kwa mahusaiano kati ya mke na mme kuliko sababu nyingine.Wataalamu wa mapenzi na hisia za...
Share:

Njia 5 za Kudumisha Mahusiano ya Mapenzi

Kuna nukuu inayosema “Uhusiano mzuri hautokei tu peke yake bali huchukua muda, uvumilivu, na watu wawili ambao kikweli wanataka kuwa pamoja.”Japo inasemwa kuwa mapenzi hayana njia moja ya kufuatwa lakini kuna vitu ambavyo vinajulikana kuchangia katika kuboresha mahusiano baina ya wapenzi.Mahusiano...
Share:

Faida tano (5) za kuoa au kuolewa na mtu sahihi

Je unajua kuwa swala la ndoa lina nafasi kubwa sana katika swala la wewe kuishi ndoto zako? Ukifanya uamuzi mzuri katika swala la ndoa utapa mwenzi ambaye hatokuwa mzigo na kikwazo kwako katika kuishi ndoto zako.Zifutazo ndizo faida za kuoa au kuolewa na mtu sahihi.Atakujali na kukutia moyo kila wakati.Mtapanga...
Share:

Mambo muhimu mnayopaswa kufanya ili kuyafurahia mahusiano yenu

Mahusiano ya mwanaume na mwanamke hukutanisha watu kutoka koo mbalimbali. Kila mtu anakuwa amelelewa tofauti kwa wazazi wake. Tabia haziwezi kufanana. Huyu anaweza kuwa na tabia fulani ambayo mwenzake anakuwa hana. Mnapokutana wawili, ili muweze kwenda sawa ni lazima muelewane tabia, mshibane na...
Share:

Sababu za wanaume wengi kukimbiwa na wanawake

Imezoeleka katika jamii kwamba wanaume hukimbiwa na wanawake kwa kukosa kipato au alichonacho ni kidogo, au muonekano na maumbile ya mwanaume bila kuzingatia kwamba wanawake huangalia vitu vingine zaidi ili kugundua kama wanaweza kuishi na aina hiyo ya mwanaume. Zifuatazo ni sababu zinazowafanya...
Share:

Njia zitakazowasiaidia muweze kudumu katika mahusiano yenu ya kimapenzi

Hakuna binadamu asiyefahamu nini maana ya mapenzi na kama wapo basi ni wachache sana na wanaweza kuwa hawafahamu kwa maneno lakini kivitendo wanakuwa wanafahamu aidha kwa kuona, kusikia na hata kwa wao wenyewe kushiriki kwenye mapenzi hayo.Na hakuna binadamu yeyote asiyependa kupenda au kupendwa,...
Share:

Mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi

Ukweli ni kwamba inachukua muda mrefu kumfahamu mtu vizuri, kikubwa zaidi watu wanabadilika jinsi wanavyokuwa, hela zinaongezeka au kupungua na wanajikuta wanavutiwa na watu wa aina tofauti. Kwa wale ambao hawajabahatika kupata wenza wao kuna mambo ya msingi ya kuzingatia kabla hujajizamisha katika...
Share:

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © 2025 juu | Powered by Blogger