juu

Wednesday 27 November 2019

SMS ya kumwomba mpenzi wako akuthamini kwa sababu unampenda sana

Related imageT.gifSMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kweli

Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutampenda mwingine zaidi yake

Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi
umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama
hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA
MWINGINE ZAIDI YAKO"

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumwomba mpenzi wako akuthamini kwa sababu unampenda sana

Naomba niwe CHOZI ndani ya JICHO lako,
Nikitoka tu NIDONDOKE kwenye SHAVU lako,
Ukinipangusa NIGANDE kwenye KIGANJA chako,
Kwa sababu NAKUPENDA sana

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri kwa umpendaye

kiangazi aumasika
kukupenda nitawajibika kwenye chupa au birika chai yako
ya uhakika ,iwe ndoo au pipa ujazo wa penzi kimiminika.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya shukrani kwa mpenzi kumshukuru kwa kukupenda

moyo wangu saafi kama upole wa tausi wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia. ASANTE KWA KUNIPENDA MPENZI

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya kumkumbusha mpenzi wako kuwa unampenda

Mapenzi ni magumu na yatabaki kuwa hivyo, lakini kumbuka
kuna akupendaye naye ni MIMI!.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa umezama kwake

tazama, nimezama
ndani ya bahari
la penzi lako
siwezi
kusonga mbele
kurudi nyuma
sijielewi
haya mapenzi ya fujo hayafai
kama wanipenda
jaribu kunipa raha

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumuahidi mpenzi wako kuwa utaendelea kumpenda

Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe
sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya
ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo!
"NAKUPENDA MALAIKA WANGU"

πŸ”₯♥♥♥

Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger