juu

Wednesday 27 November 2019

Faida za kuoa & Kuolewa na mtu sahihi katika Mapenzi



Je unajua kuwa swala la ndoa lina nafasi kubwa sana katika swala la wewe kuishi ndoto zako? Ukifanya uamuzi mzuri katika swala la ndoa utapa mwenzi ambaye hatokuwa mzigo na kikwazo kwako katika kuishi ndoto zako.


Zifutazo ndizo faida za kuoa au kuolewa na mtu sahihi.

Atakujali na kukutia moyo kila wakati.

Mtapanga mipango mbali mbali ya maendeleo pamoja.

Mtasaidiana na kutiana moyo wakati wa shida.

Mtahamasishana ili kuhakikisha mnafikia ndoto zenu.

Atakusaidia kutimiza majukumu na mipango mbalimbali.


Ikiwa basi hukupata mtu stahiki katika ndoa, faida hizo hapo juu zitakuwa kinyume chake na mtokeo yake utakosa furaha na kuishi masha ya mahangaiko ambayo katu hutofikia ndoto zako.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger