juu

Saturday 30 November 2019

SMS Za kumsihi mpenzi wako asikuache

Image result for SMS ya kumsihi mpenzi wako asikuacheT.gifSMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako

Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi
nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu,
kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji nzuri ya kimahaba ya salamu kwa mpenzi

Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno
laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama
apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee
salamu "UHALI GANI MPENZI?"

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa unamjali na kumpenda milele

Tambua kuwa nakujali
Furahia kwamba nitakuwa na wewe
Katika siku zote za maisha yangu
Nitakupenda bila kikomo milele

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumsihi mpenzi wako asiende kwa mwingine

Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu
hupatwa kidonda ninaokuona na mwingine hasa anapokuwa hana
sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa
kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumsisitiza mpenzi wako asiende kwa mwingine

chekecho la huba ,toka uvunguni mwa moyo wangu
navika moyo wako taji la upendo,na kupulizia marashi ya hubaa ,usimpe mwingine mi ndiye ninayejua kulea.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako mpya

Mpenzi wangu T tambua kuwa ulimwengu tunaoishi una mambo
muhimu matatu. Jambo la kwanza ni kumpata umpendaye, la
pili ni kupata atakayekupenda la tatu ambalo ni kubwa
kuliko yote ni kwa jambo la kwanza na la pili kuungana
pamoja.
Nashukuru nimekupata wewe nikupendaye, naomba unipende na uungane nami

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya kumwambia mpenzi wako asiwaze hata siku moja kuwa unawea kumuacha

Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba
mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linaweza
kusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza
kukuacha.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumsihi mpenzi wako asikuache

Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha.

πŸ”₯♥♥♥

Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger