juu

Friday 29 November 2019

Meseji nzuri Za salamu kwa umpendaye

Related imageT.gifSMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako sababu ya kumpenda

wengi hupenda fanta kwa ladha yake,wengine hupenda
pilipili kwa muwasho wake,wengine hupenda asali kwa utamu
wake ila mimi nakupenda wewe kwa upendo wako.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya kumuomba mpenzi wako akwepe fitina kwani unampenda sana

Moyo wangu unajua kupenda katu haujui kutenda
mpz,nakupenda tukwepe fitina mpz.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe wa salamu kwa mpenzi kumjulia hali

Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi?

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya kumtumia mpenzi wako wakati unaenda kwake

nipe niridhike,nionjeshe usinilambishe,nikigonga
nikaribishe na penzi le2 2listawishe.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji nzuri ya salamu kwa umpendaye

Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?"

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe kwa mpenzi kumwambia mlitunze pendo lenu

Utakuwa wangu wa maisha daima na penzi le2 litakuwa km
mfuko wa hazina,2talitunza km zaidi ya mboni la jicho.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji spesho kuhusu mama

Alikosa raha ulipougua! alipigana na kutukanwa ulipoonewa, alikaa na njaa ili ww ushibe na kufurahi. Aliakikisha halali mpaka ww ulale, na kikubwa zaid mimi na wewe tusingejuana wala kupendana bila yeye, Je unamjua huyu? Si mwingine ni MAMA. KUMBUKA PEPO ZETU ZIKO CHINI YA NYAYO ZA MAMA ZETU. (MPENDE SAANA MAMA)
AKIWA HAI MLIWAZE NA KM AMEFARIKI USIACHE KUMUOMBEA DUA.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya ujumbe wa kumtumia mchumba au mke wako mtarajiwa kumwambia asisikilize ya watu

Joto ndio kitu nachotarajia kutoka kwao mke wangu
mtarajiwa, usisikilize maneno yakuambiwa, ni wewe tu
mwenye thamani kwangu katika hii dunia.

πŸ”₯♥♥♥

Share:

1 comment:

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger