juu

Thursday 28 November 2019

SMS tamu kwa ajili ya kumtumia umpendaye

Related imageT.gifUjumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa utazidi kumpenda hata kama watasema mengi juu yake na juu ya mapenzi yenu

Hata kama watasema mengi kiasi gani, kwako wewe
nitaendelea kuwa mpole, maana nakupenda sana…

🔥♥♥♥


T.gifMeseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia mpenzi wako usiku mwema

Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,
fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,
fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo
kwa kukutumia sms mpenzi wangu,
Nakutakia usiku mwema

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kumwambia mpenzi wako ni wa thamani kwako kwa hiyo akikuacha atakuumiza

Nakupéndä mpènzi wèwè ùnåumuhimu mkubwa kwenye maisha
yangu kwani ukiniacha mpenzi utanisababishia kovu ambalo
halitapona .nakupenda sana

🔥♥♥♥


T.gifMeseji nzuri ya kumwabia umpendaye kuwa unampenda

nimetuma ndege wangu auzunguke ''moyo'' wako kwa '' upendo
'' auguse ''uso'' wako kwa ''faraja'' na mwisho
akunong'oneze sikioni taratibu kuwa nakupenda.

🔥♥♥♥


T.gifSMS tamu kwa ajili ya kumtumia umpendaye

"CHAI" bila sukari hainyweki.
"ASALI" bila nyuki haitengenezeki.
"PETE" bila kidole haivaliki.
Na "MIMI" bila ya kukusalimia wala siridhiki! mwidiwe mpase pokea maneno yafuatayo "I LOVE YOU" pokea my lovely kiss "MWAAAAAAA" my best wishes
mtumie umpendae
kama na mm nimo nirudishie.

🔥♥♥♥


T.gifSMS kwa mpenzi kumwambia unampenda kwa moyo

unaweza ukafunga macho kwa usilolitaka kuliona lakini
hauwez kufunga moyo wako kwa Unalo Lipenda. Nakupenda
Mpenzi

🔥♥♥♥


T.gifMeseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako aache umpende kwa kuwa ni mzuri kwele kweli

Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji
kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo
kama ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET"

🔥♥♥♥


T.gifMeseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia akupende kama unavyompenda

Nakupenda mpenzi wangu, sifikirii kitu chochote zaidi yako
na kwa kuwa nakupenda sipendi kuwa na urafiki hata na
mwingine kwani atakuwa anabana nafasi niliyokuwekea wewe.
Noamba unipende nami nakupenda kila sikunde inayopita
maishani mwangu. Mwaaaaaaaaa

🔥♥♥♥

Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger