juu

Thursday 28 November 2019

SMS ya kumwomba mpenzi wako msamaha unapomkosea

Related imageT.gifSMS ya kumsihi mpenzi wako awe anakupigia simu kwa kuwa hivyo ndivyo kujali

Kusumbuliwa na mlio wa simu yako, humaanisha kuwa muda
fulani, mahali fulani, kuna mtu anakufikiria muda huu, na
huyo ni mimi mara zote nakujali.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako

Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi
nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu,
kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe kwa umpendaye kumwambia unavyotamani kuwa na yeye

Ningependa siku moja utamani sana kuwa na mimi, na
uhangaike sana kunitafuta, ili ujue ni kwa kiasi
ninavyotamani kuwa nawe sasa.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya kumsifia mpenzi wako kuwa ni mzuri

Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najua
wanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwa
uzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya kimahaba kumwambia mpenzi wako jinsi unavyotamani uwe naye kila sehemu na kila wakati

Kila unachokifanya natamani niwepo, nikitumainia kila
ndoto yako itimie kila muda na sehemu, niwepo nikikutakia
mafanikio mema kwasababu nakujali.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa utazidi kumpenda hata kama watasema mengi juu yake na juu ya mapenzi yenu

Hata kama watasema mengi kiasi gani, kwako wewe
nitaendelea kuwa mpole, maana nakupenda sana…

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumwomba mpenzi wako msamaha unapomkosea

Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani,
nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo,
utakuwa wangu siku dear!
Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya,
naomba unisamehe na ninaahidi
kutorudia tena katika penzi letu!

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako akuache umpende tuu

Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo kama ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET"

πŸ”₯♥♥♥

Share:

1 comment:

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger