juu

Tuesday 26 November 2019

SMS ya kumwambia mpenzi wako hutomuacha na kumuonyesha umuhimu wake

Image result for sms loveT.gifSMS ya mapenzi kutakia maisha marefu siku ya kuzaliwa au birthday

Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe
maisha marefu na kukuepusha na maradhi,
pongezi kwa wako wazazi
kwa kukuzaa mpenzi,
nakupenda la azizi.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako mpendane

Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumdekeza mpenzi wako na kumwambia unavyompenda

mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi ni
zawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,naweza
kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyo
wangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya ujumbe wa kumtumia mchumba au mke wako mtarajiwa kumwambia asisikilize ya watu

Joto ndio kitu nachotarajia kutoka kwao mke wangu
mtarajiwa, usisikilize maneno yakuambiwa, ni wewe tu
mwenye thamani kwangu katika hii dunia.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe wa kumtumia mpenzi wako mlioachana kumwambia hakuwa sahihi

maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa, lakini ni
makubwa zaidi baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani.
inaniuma sana

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumwambia mpenzi wako hutomuacha na kumuonyesha umuhimu wake

Kama safari tumeianza,kama chakula sinto kusanza,kama
nyumba wewe kibaraza na kama ukingo wewe kiambaza.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumsihi mpenzi wako akupende kabla hajachelewa

ITAKUA" Kama "NDOTO" Pale "MOYO" Wangu Utakapozima Kama "MSHUMAA" Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie "SAUTI" Yangu Lakini Utakuwa umesha chelewa, ''KILIO' 'HUZUNI' SIMANZI'' na "MAJONZI zitakuwa zimetanda ktk KUTA za MOYO wako MACHOZI Yatakutoka kila utakapo kumbuka ucheshi WANGU kwako na MOYO Utakuwa Mpweke kila utakapoiona namba YANGU Kwenye simu YAKO Utatamani uifute ila ROHO Itakuuma kwa KUWA Umenizoea Hivyo Jaribu Kufurahia Uwepo WANGU Kabla Sijatoweka Dunian Ata Chura Ujua Umuhim Wa Maji Pindi Yanapo Kauka Tuishi Kwa Aman Na Upendo Maish Ya Dunian Ni Mafupi

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye

Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,
Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee
mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,
Usije ukaondoka hakuchinji asilani,
Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.
ucku mwema

πŸ”₯♥♥♥

Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger