juu

Saturday, 16 November 2019

Jinsi ya kumuelewa mwanamke uliye nae



BROTHERS:

Unapotaka kumuelewa mwanamke huhitaji kuwa logical bali emotional, mwanamke yupo after romance, jinsi unavyompenda, unavyomsaidia vitu vidogo, unavyomsikiliza, unavyombembeleza, unavyompa muda wa kuwa pamoja na kufurahia, unavyombusu, unavyomkumbatia, unavyomtia moyo, unavyocheza naye nk, kwake ni muhimu kuliko kununua gari au nyumba na kuamini kwamba hapo mwanamke atakuwa na furaha na hana sababu ya kutokuwa na furaha.

Unaruhusiwa kumfanyia mwenza wako mambo makubwa sana lakini kumbuka anza kwa kumfanyia mambo madogomadogo kwanza yanayo angazia upendo wako kwake.

Usitegemee kwa kuwa umemfanya mambo makubwa haina maana kwamba hutakiwi kufanya mambo madogo na kwamba mambo makubwa au zawadi kubwakubwa ukimpa hana sababu ya Kutokuwa na furaha na kuona unamjali. Kimbuka mkeo anakuhitaji wewe kwanza na vile ambavyo unamjali, hizo zawadi na mali zako sio tiketi ya yeye kuwa na furaha ya mahusiano yenu.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger