juu

Friday, 15 November 2019

MESEJI-KALI-SANA-ZA-MAPENZI

Related imageT.gifUjumbe wa kimahaba kumuomba mpenzi wako asichoke kuwasiliana na wewe kwa kutumia simu

Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji
na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke
kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kimahaba ya kumkumbusha mpenzi wako uwepo wako

Ucku ulalapo jua kuna m2 akupendaye,mchana uwajibikapo
tambua yupo anayekuwaza ,jioni uwapo mazoezini jua yupo
anayekuonea wivu,hata uwapo kwenye kumbi za burudani
tambua mwenzio nakulilia,usitoe penzi kangu akilini hata
km upo mbali nami!moyoni mwangu hutafutika milele!

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimahaba wa kumwambia mpenzi wako ajiepushe na vishawishi

Najua kuna vishawishi vingi sana uko ulipo, lakini nikiwa
moyoni mwako, siku hii itakuwa nzuri zaidi kwetu,
tupendane daima lahazizi…

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri kwa umpendaye

kiangazi aumasika
kukupenda nitawajibika kwenye chupa au birika chai yako
ya uhakika ,iwe ndoo au pipa ujazo wa penzi kimiminika.

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss

Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni,
naishia kukuota ndotoni,
hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumuomba mpenzi wako asikuache

Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya Sikukuu ya kuzaliwa au Birthday

Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi
akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,
pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,
nakupenda la azizi.

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kuasa na kutakia kila la heri katika mapenzi

Mapenzi ni kitu kisichotabirika, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika na PENZI lake kwa yule AMPENDAE, Muda wote huhisi anasalitiwa. PENZI Ni kama JENGO lililokosa NGUZO muda wowote unahisi litadondoka… Usinielewe vibaya sikukatazi KUPENDA au KUPENDWA, ila tazama wapi UMEPENDA au UMEPENDWA.kilalakher kwa umpendae

🔥♥♥♥

Share:

HABARAI MPYA:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © 2025 juu | Powered by Blogger