juu

Tuesday 5 November 2019

Sifa za Mwanamke mwenye kujitambua

Mwanamke mwenye kujitambua siku zote lazima awe na msukumo wa kimaisha kwa mume wake,lazima awe ni kiungo cha fikra chanya kwa maendeleo ya mumewe na familia kiujumla.
Tambua kuwa mfumo bora wenye kumfanya mumeo ajisikie amani furaha na upendo anapokuwa na wewe,ndio mfumo utakaomfanya akuone wa thamani na kukupa ushirikiano katika kila jambo lake,akuthamini akujari na azidi kukupenda pia,jitambue na ubadilike.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger