juu

Saturday, 16 November 2019

SMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako

Related imageT.gifSMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako

Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi
nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu,
kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS nzuri sana ya kutakia usiku mwema

Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.
Hodiiiiii, Hodiiiii,
Tunaomba tufungulie Mlango,, sisi tunaitwa FURAHA, AMANI na UPENDO. Tumebeba HEKIMA, BUSARA na MAFANIKIO. Tulikuwa wengi HURUMA na UPOLE wanakuja nyuma. CHUKI na WIVU hawana nauli. TABU ni mahututi. SHIDA yuko jela. MATATIZO amepigwa shoti ya umeme. MIKOSI amefariki njiani. LAANA ameliwa na mamba. UVIVU ameungua na maji ya moto hajiwezi. Tutakuwa nawe daima maana tumefika kwa NEEMA . Mungu akulinde na mabaya yote katika dunia hii. ucku mwema.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako umpendaye sana

Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechoka
sababu unakimbia mara zote akilini mwangu, na labda mimi
sina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe wa kumtumia mpenzi wako mlioachana kumwambia hakuwa sahihi

maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa, lakini ni
makubwa zaidi baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani.
inaniuma sana

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa wewe ndiye unayempenda wa kwanza

♥Watu wanao pendana daima hukumbukana!!! Na salamu
kusalimiana!!! Afya njema kutakiana!!! Huruma
huoneana!!! Kwenye shida husaidiana!!! Makosa
husameheana!!! Katika dhiki huvumiliana!!! Kila
jambo zur hupeana!!! Maneno mazur yaliyo jaa upendo
huambiana!!! Ushaur mwema hushauriana na njia
za mafanikio huonyeshana!!! Mbele ya madui hulindana!!!nai
ni mmoja katia ya wakupendao,hakika ni
mm wa kwanza kwanza wengine wanafata♥

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimahaba wa kumtumia mkeo mtarajiwa kumsifia alivyoumbika

Kila nikuonapo napata weweseko, yako miondoko si ya kitoto
na zaidi wajua kuweka mikogo, umeumbika si kitoto,
nahitaji uwe wangu mama watoto!

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali

sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbal
nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza
kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimapenzi wa kumweleza mpenzi wako kuwa anaweza asijue jinsi gan unavyompenda lakini ni kweli unampenda sana

Unaweza usione kamwe ni kwa kiasi gani ninavyokujali.
Unaweza usisikie ni kwa kiasi gani nilivyokushiba, unaweza
usihisi namna gani ninavyokukumbuka. Sababu ni moyo wangu
tu uliyoyaficha hayo.

πŸ”₯♥♥♥

Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger