juu

Saturday, 16 November 2019

SMS ya kimahaba ya upendo ya kumtumia mpenzi

Image result for SMS nzuriT.gifSMS ya kimahaba ya upendo ya kumtumia mpenzi wako anapoenda kwa mwingine

Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu hupatwa kidonda ninaokuona na mwingine
hasa anapokuwa hana sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya Birthday ya kumtakia mpezi wako heri ya sikukuu ya kuzaliwa

Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia,
hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia,
hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi,
zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.
Happy Birthday mpenzi.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya kumwambia mpenzi wako asiwaze hata siku moja kuwa unawea kumuacha

Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba
mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linaweza
kusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza
kukuacha.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumuomba umpendaye akukubalie

pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bila
sababu,kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea Pasipo
Sababu,nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe kumwambia unavyommisi

Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda,
macho nayaangaza,
taratibu navuta shuka na kujitanda,
mishumaa pembezoni inaniangaza,
mziki laini wanibembeleza kitu pekee nilichokikosa
ni joto lako na vijimambo vyako kunako kitanda!

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya kumuomba mtu muwe wapenzi

Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata bado. Je naweza nikatua kwako?

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutampenda mwingine zaidi yake

Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO"

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako asichoke kukupenda

Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani
nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi
kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali
hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI

πŸ”₯♥♥♥

Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger