juu

Saturday, 16 November 2019

SMS ya mchana mwema kumwambia mpenzi

Related imageT.gifSMS ya mapenzi kutakia maisha marefu siku ya kuzaliwa au birthday

Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe
maisha marefu na kukuepusha na maradhi,
pongezi kwa wako wazazi
kwa kukuzaa mpenzi,
nakupenda la azizi.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya ujumbe wa kimahaba wa kifumbo kwa mpenzi wako

Kila mtu anataka kuwa jua linalong’arisha maisha yako,
lakini ni afadhali niwe mwezi, ili nikuangazie wakati wa
giza ambapo jua limechwea na haliangazi tena.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya kumtumia mume wako

hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najiona
kama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzi
lako.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kujivunia mpenzi wako

tunda langu laangaliwa hawajui nilipoli chuma,
utamu wake maridhawa,hakika utalipenda.si mpi tunda langu mwingine na lila mwenyewe.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss

Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni,
naishia kukuota ndotoni,
hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda

πŸ”₯♥♥♥


Image result for MESEJI-T.gifSMS ya mchana mwema kumwambia mpenzi wako aendelee kufurahia mapenzi yako


Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,
huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili
mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.
Mchana mwema

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri wa mapenzi kwa umpendaye akupende zaidi

Moyo wng mtiifu,2li ume2a kwako,kwang huna upungufu yote nimekupa hekoo,utunze na ulee pia uujali kama mama yako alivyofanya kwako.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya kumsihi mpenzi wako azidi kukupenda

Natambua ugumu wa mapenzi
Mengi ni matamu, mengine ni machachu
Ila nakusihi usikate tamaa ya kunipenda kimoyo

πŸ”₯♥♥♥

Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger