juu

Tuesday, 12 November 2019

Utajuaje mke au mpenzi wako amefika kileleni?

Related imageDalili 5 zitakazokuonyesha sasa anafika kileleni:
1. UTAONA MISULI YA  K  YAKE INAKAZA NA KUACHIA
Mwanamke anapokaribia kutaka kufika kileleni utaona misuli kuzunguka uke kama inakaza na kuachia hivyo hivyo kwa sekunde kadhaa na utaona wazi mheshimiwa akibanwa na kuachiwa hivi. Ni wakati huu mwanaume hatakiwi afike kileleni kwani atamwacha mwenza wake pabaya sana.Kadri mwanamke anavyokaribia kufika kileleni ndivyo na kasi ya kukaza na kuachia kwa misuli ya uke itakavyokuwa inaongezeka.Kitendo hiki cha uke kumbana na kumwachia mzee kitaendelea kwa kujirudia rudia mpaka mwanamke amefika kileleni.
2. K   itazidi kuloana
Hapa sasa unaweza kuwa na uhakika kwamba ameshafika mlimani kabisa.Haya maji maji au utelezi kidogo unaotokea hapa ndiyo tunaweza kusema ni kukojoa kwa mwanamke na hapo ndiyo na yeye anakuwa amefika kilelelni kama vile yanavyomtoka mwanaume anapofika kileleni.Kwahiyo wanawake nao huwa wanakojoa katika tendo na ndiyo wakati huo yeye huhisi raha ambayo ni vigumu kuielezea.Wanawake wengi wakati wa kupeana raha na utamu kuna muda huwa wanajisikia kama kukojoa na wanaomba wakakojoe lakini kumbe ni majimaji ya kufika kileleni.Unashauriwa wakati mwingine kabla ya kushiriki tendo  ukojoe kabisa ili kibofu chako cha mkojo kiwe kitupu ili katikati ya tendo ukisikia kukojoa ujue unakaribia kufika kileleni. Kwahiyo jiachie na uwe huru ili uweze kupata raha na utamu wa kufika kileleni.Si wanawake wote wanaweza kutoa majimaji mengi, kama ikitokea hujatokewa na hali hii usijisikie vibaya bali ujuwe kuwa upo katika kundi la wale wanawake ambao wakifika kileleni uke wao huwa unazidi kuloa badala ya kutoa maji kama mkojo kabisa.
3. MIGUNO NA MAKELELE  VITAONGEZEKA
Hapa uwe makini kidogo. Wapo wanawake wao huwa na kelele wakai wote tangu mnaanza mpaka mnamaliza, mwanamke wa namna hii anaweza kumchanganya mwanaume asiye mjanja kutambua hizi ni kelele za kufika kileleni au ni kelele za kawaida tu.Wanawake wengi wamedanganya waume zao kwa kutumia mtindo huu na mwisho wa siku huwa hata hawajafika kileleni. Utaweza kujua kuwa anadanganya pale kelele au miguno yake ikiwa katika mpangilio unaoeleweka kwa mfano (ooo yea, o yes kwa kujiruduarudia hayo hayo maneno kama CD iliyorekodiwa, hapo ujuwe unadanganywa).Kelele za kufika kileleni mara nyingi huwa hazieleweki na wala huwa hazina mpangilio maalumu. Kwa kawaida kelele huwa za undani kidogo zikiambatana na lugha ya mwili inayoendana na makelele au miguno anayoitoa.Kinyume na hapo ujue anakudanganya.

4. CHUCHUU HUANZA KUWA NGUMU
Kwa kawaida mwanamke anapokuwa anazidi kupata hamu ya tendo maziwa yake huvimba kutokana na ongezeko la kasi ya mzunguko wa damu katika mwili wake, lakini chuchuu zake huwa zinakuwa za kawaida.Hata hivyo kuna baadhi ya wanawake chuchuu zao zinakuwa ngumu pale maziwa yakivimba (hawa ni wachache sana).Hivyo ni mhimu ujue mapema kabla hata tendo la kupeana raha na utamu halijakolea.Pale mwanzoni tu unapokuwa unapashana nae joto, jaribu kuzigusa au kuziminya chuchuu zake taratibu kama ukiona ni laini halafu baadae katikati ya tendo zikabadilika zikawa ngumu, basi ujue upo uwezekano ama ulifanikiwa kumfikisha kileleni au alikaribia kufika lakini hakufanikiwa.Ikiwa umezikuta ngumu tokea mwanzoni basi huwezi tena kuzitumia chuchuu kama dalili ya kukujulisha kuwa amefika kileleni au bado.

5. LUGHA YA MWILI
Hapa anaweza kuwa anahema haraka haraka kwa sababu ogani zake za ndani na mishipa yake vitakuwa vinahitaji oksijeni zaidi ili aweze kufika kileleni salama.Hivyo hivyo atazidisha kujikunjakunja, kujinyonganyonga au kujisogeza kwako. Kama atakuwa ametulia tu ujue bado hivyo ongeza bidii zaidi.Unaweza kuona pia mikono yake anaikunjakunja hata kufinya shuka.Kama mpo kwenye staili ile ya kizamani wengine hupenda kuiita ‘kifo cha mende’ utashangaa ghafla anaanza kukumbatia na kukushikilia kwa nguvu, heee kama kucha zake ndefu anaweza kukuachia alama kadhaa mgongoni au kifuani wakati mwingine anaweza akashindwa kujizuia akakung’ata kabisa!!!
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger