juu

Tuesday 5 November 2019

Maisha ya mahusiano yanahitaji faraja

Maisha ya mahusiano yanahitaji faraja. Mahusiano yanahitaji utulivu; mioyo yenu itulie ili muweze kufanya mambo ya kimaendeleo. Wengi wamejikuta wakisuasua katika kufanya maendeleo kwa sababu tu ya kuyumba kimahusiano.
Mahusiano yanapokuwa na shida basi husababisha mambo mengi yasiende sawa. Ni vizuri sana wapendanao wakahakikisha wanaitafuta furaha kwa gharama yoyote. Kila mmoja aone ana wajibu wa kulinda furaha ya mwenzake, mkiishi hivyo basi hakika mtainjoi maisha na Mungu atawafungulia milango ya mafanikio.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger