juu

Friday, 15 November 2019

Mambo 7 ambayo mwanamme hapaswi kumfanyia mke wake

Image result for Huu ndio ukichaa wa mapenzi bogoMambo 7 ambayo mwanaume apaswi kumfanyia mke wake..

1. Usimpige.
2. Usimtukane na kumshushia heshima.
3. Usimfanye ajihisi hapendwi na anamkosi.
4. Usimbake.
5. Usimsaliti na kujionyesha kabisa kwamba una saliti.
6. Msikilize pale anapokua na stress, mpe muda wako, mkumbatie na mpe maneno ya faraja.
7. Mpe zawadi, hata kama ni ndogo kiasi gani kwake ni alama tosha.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger