juu

Tuesday 5 November 2019

Ujumbe muhimu kwa dada yangu mpendwa

Image may contain: 1 person, wedding
Dada yangu mpendwa!
Mumeo sio kiumbe tofauti kwamba hahitaji kupendwa! La hasha, yeye pia anahitaji mapenzi, huba na kutendewa wema. Kabla ya kuoa, wazazi wake walimtimizia haja hii ya upendo, lakini sasa hivi anayo matumaini kwamba wewe ndiye utakaetimiza haja hii. 
Mwanaume anategemea kupata urafiki, huba na mapenzi kutoka kwa mke wake, jambo ambalo ni hitajio la wanadamu wote. Hujitahidi sana ili apate riziki na kukufurahisha wewe. Hushirikiana na wewe katika matatizo yote ya maisha, na kama mwenza wako wa kweli, anajali kukufurahisha wewe kuliko hata wazazi wako wanavyoweza kukufanyia. Kwa hiyo, onesha shukurani zako kwake na umpende yeye, naye atakupenda wewe.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger