Amekukumbuka sana ila hatakutafuta tena. Kwa muda mrefu sasa amejitahidi mno kuonesha mapenzi kwako ili kukufurahisha. Kwa muda mrefu sana amekuwa akitenga muda wake kukumbuka na kukujali.
.
Kwa muda mrefu sana amejitahidi kukuonesha kwamba anakufaa lakini alichoambulia ni maumivu. Hatimae moyo wake umechoka, hatakutafuta tena. Hatimae amejikuta hana ujasiri tena wa kukunyenyekea.
.
Hatimae amejiona hawezi tena kukupigania. Kila kosa ulilolifanya limemuweka katika mazingira ya kutokukuamini tena. Maumivu uliyomsababishia yamemfanya aamini wewe ni mbaya kwake.
.
Hivyo, usiamini kama atarudi tena. Usitegemee kabisa kuwa atarejea tena na kulilia kupendwa na wewe. Usitarajie atarudi ili azidi kuumia kila siku kama hapo awali.
.
Imemchukua muda wake mwingi kujiamini na kusema kwamba “imetosha sasa”, imemchukua muda mrefu kuamini kuwa ataweza ku-move on. Lakini sasa amefanikiwa na hakika hatarudi tena nyuma.
.
Ndio. Itakuwa ni ngumu kwake kwakuwa ameshakuzoea. Itakuwa ngumu kuwa peke yake tena. Lakini bora awe peke yake kuliko kuwa na mtu ambaye hakuna uhakika wa kufika nae popote.
.
Ndio, itakuwa ni ngumu kumpenda mtu mwingine tena, lakini ni heri. Maana, atapenda tena pale atakapokuwa tayari kuliko aendelee kumpenda mtu anayemchukulia poa.

0 comments:
Post a Comment