juu

Tuesday 5 November 2019

Zingatia Sio vyema kutamka neno kama “NAOMBA TUFANYE MAPENZI”

Image may contain: 1 person, sitting and indoor
Zingatia unapokuwa chumbani na mpenzi wako kwa lengo la kutaka kufanya nae mapenzi na wakati huo wote mnalitambua hilo sio vyema kutamka neno kama 
“NAOMBA TUFANYE MAPENZI” Tambua kuwa mnapokuwa chumbani na mpenzi wako na lengo lenu ni kufanya mapenzi sidhani kama kuna ulazima wa kuanza kuomba tena tendo, huo ni wakati wa kuziacha hisia ziseme zenyewe, utakuwa mtu wa ajabu au usiejielewa pindi utakapomwambia kuwa unahitaji kufanya tendo la ndoa wakati hadhma yenu ni kushiriki tendo hilo husika kwa siku hiyo. Swala hilo huwaboa sana hasa wanawake. Hivyo mnachotakiwa kufanya ni kucheza vilivyo na hisia zenu huku mkiwa mmeandaana kiakili tangu mapema, kwamba leo mnahitaji kukutana kimwili. Na si vyema kushtukizana, mfano mtu anapika utasikia, “mama fulani njoo mara moja tuzungumze”.

Au mtu yupo kazini unaanza kupiga simu mume wangu fanya uje nyumbani mara moja kuna tatizo.” sio sawa japo ni haki yako.
Wekeaneni utaratibu wa kuundaana kiakili kwanza then vinavyofata ni vitendo.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger