juu

Friday, 15 November 2019

SMS-TAMU-MPYA-ZA-MAPENZI

Related imageT.gifSMS nzuri ya kumtumia umpendaye kumwambia unavyompenda na kumridhia

Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,ukweli
usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu,moyoni
mwangu nimeridhia… .nakupenda daima mpenzi!

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda yeye tuu

Ingawa mwaka umekwisha, mawazo yangu katu sitobadilisha, amini ni wewe pekee unayenipagawisha, hakika kwa penzi lako kiu yangu katu haitakwisha!

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa huna linalokuhuzunisha maishani kwa kuwa mnapendana

Imani hufanya mambo yote yawezekane, Matumaini hufufua
yaliyopoteza uhai, lakini mapenzi hufanya mambo yote
yaonekane mazuri. Sina linalonihuzunisha maishani mwangu
kwa kuwa tunapendana!

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe kwa mpenzi kumuonyesha unavyompenda

Mapenz hayana msimu walam majira isipokuwa ni kama majani yaotayo popote kwani siyo mimi ni msukumo na hisia zangu. Nakupenda sana

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa bado unampenda na hujabadilika

"Japokuwa"
"Kuku" "Haogi" "Yai" "Lake" "Litabaki" "Kuwa" "Jeupe" "Tu" "Namaanisha"
"Kuwa"
"Hata" "Kama" "Ukiona"
"Nipo" ""KIMYA"" Muda"
"Mrefu" ""UPENDO"" "Wangu" "Kwako"
"""Bado"""
"Uko" Pale pale!!!!!
Usijali
"Tupo Pamoja" "Kwa" "Asilimia 100%".

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kimahaba ya upendo ya kumtumia mpenzi wako anapoenda kwa mwingine

Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu hupatwa kidonda ninaokuona na mwingine
hasa anapokuwa hana sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kimahaba ya kumkumbusha mpenzi wako uwepo wako

Ucku ulalapo jua kuna m2 akupendaye,mchana uwajibikapo
tambua yupo anayekuwaza ,jioni uwapo mazoezini jua yupo
anayekuonea wivu,hata uwapo kwenye kumbi za burudani
tambua mwenzio nakulilia,usitoe penzi kangu akilini hata
km upo mbali nami!moyoni mwangu hutafutika milele!

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumsihi mpenzi wako asikuache

Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha.

🔥♥♥♥

Share:

HABARAI MPYA:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © 2025 juu | Powered by Blogger