juu

Saturday, 16 November 2019

SMS:Ujumbe wa kimahaba

Related imageT.gifUjumbe wa kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa mnafiti kuwa pamoja

Mvua na jua haviwezi kuwa pamoja, usiku na mchana
hazigongani, lakini mimi na wewe, hata wasemaje,
‘tunafiti’ kuwa pamoja.

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimahaba kuhusu upendo wa kumwambia mpenzi wako

upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka… .
upendo ni lugha ,
kwamba kila mmoja anaongea,
upendo hauwez kununuliwa,
na isiyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni
siri ya maisha matamu
nakupenda mpenzi

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako unamzimia

nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapo
kuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya
,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz

🔥♥♥♥


T.gifMeseji nzuri ya salamu kwa umpendaye

Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?"

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako akuache umpende tuu

Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo kama ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET"

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimahaba kwa umpendaye sana

Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yako
kuwa pamoja

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya Sikukuu ya kuzaliwa au Birthday

Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi
akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,
pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,
nakupenda la azizi.

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya shukrani kwa mpenzi kumshukuru kwa kukupenda

moyo wangu saafi kama upole wa tausi wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia. ASANTE KWA KUNIPENDA MPENZI

🔥♥♥♥mn

Share:

HABARAI MPYA:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © 2025 juu | Powered by Blogger