juu

Sunday 24 November 2019

SMS kali ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia alivyokuteka moyo na akili zako

Image result for sms loveSMS tamu ya kimahaba ya kumuomba mpenzi wako asiende mbali na wewe

Mapigo yangu ya moyo huongezeka pindi nisipokuona japo kwa
dakika plz mpenzi kaa karibu yangu utulize mapigo

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya kumwambia mpenzi unampenda peke yake

mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba
sili nikamaliza,mapenzi ni raha kamwe cwez
kuipeza,nakupenda wewe pekee

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya kumsihi mpenzi wako azidi kukupenda

Natambua ugumu wa mapenzi
Mengi ni matamu, mengine ni machachu
Ila nakusihi usikate tamaa ya kunipenda kimoyo

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya kumsifia mpenzi wako

Uzuri wako hung'ara kuendana na matendo yako,
Ushupavu, upole, ujasiri na uchambuzi wa kweli,
kwa yote yajayo mbeleni mwako.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri wa kimapenzi wa kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda kweli

"Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napenda
kuwa kitu kwa mtu.na mtu mwenyewe ni wewe"
nakupenda laazizi
"Kama mimi nilikuwa na maua kila wakati
mawazo yangu
yangekuwa juu yako,nisingefikiri wa kumpa mwingine kabla
yako je wewe ungekuwepo nayo
ungempa nani kwanza? "

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumuahidi mpenzi wako kuwa utaendelea kumpenda

Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe
sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya
ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo!
"NAKUPENDA MALAIKA WANGU"

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe kwa mpenzi kumuonyesha unavyompenda

Mapenz hayana msimu walam majira isipokuwa ni kama majani yaotayo popote kwani siyo mimi ni msukumo na hisia zangu. Nakupenda sana

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS kali ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia alivyokuteka moyo na akili zako

Mpenzi wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu. Umeniteka moyo na akili yangu pia.

πŸ”₯♥♥♥

Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger