juu

Sunday 24 November 2019

SMS-KALI-NZURI-ZA-MAHABA

Image result for mapenzi mubasharaT.gifSMS ya kimahaba kwa mpenzi wako kumwambia unampenda sana hutaki hata sekunde ipite bila kumpenda

Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu,
basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila
kukupenda wewe.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumuomba mpenzi wako asiondoke asikuache

Nakuomba usiondoke, bali ubaki nami
Kwani wewe ndiye kamilisho la maisha
Yangu kwa sasa na siku za usoni

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS nzuri kwa mpenzi wako

mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz ni
zawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi gani
unanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako
limezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lako
haliwezi futika.
NAKUPENDA

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri wa mapenzi wa kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyompenda

Mpenzi huwa unanipagawisha unaponipumulia pumzi masikioni
nasikia raha.
Niliandika upendo wangu kwako kwenye majani ng'ombe
akala,nikaandika kwenye jiwe mvua ikafuta ,nikaandika
kwenye sms likafutwa lakini nimeandika moyoni mwangu
halitafutika kamwe.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako ya kumuomba aje kwako

Mpenzi usiende mbali nami,njoo ufaidi utamu usioisha
hamu,nitakupa mwili wangu ucheze nao hadi
asubuhi,nitakulisha unachokitaka,sitakubania kwani naogopa
wengine wanaweza kukupa… .njoo leo uniambie unataka
nini?

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda yeye tuu

Ingawa mwaka umekwisha, mawazo yangu katu sitobadilisha, amini ni wewe pekee unayenipagawisha, hakika kwa penzi lako kiu yangu katu haitakwisha!

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya kumtumia dia wako kumuonyesha jinsi unavyompenda

ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na
liku2miwa vbaya halna maana wala thaman. neno hlo
haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila 2
Linatokea Bila Kujua Na Halina 7bb.neno Hlo Mi Mwenyewe
Silijui Ila Ndo Lina2fanya 2we Pamoja Japo 2po Kas Na Kus.
Nakupenda Xana Dia

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako kumtakia usiku mwema

[[=]]
"""""Yule"""""
Anipendezae lazima nimkumbuke""
""nimpe salamu ""moyo""
wangu ""uridhike""
""Nimuombee kwa
MWENYEZI ""MUNGU"" mabaya yamuepuke""
""na kila lililo la kheri kwake lisiondoke''"
""nakutakia''"
"ucku mwema"
[[/=]]

πŸ”₯♥♥♥

Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger