juu

Monday 25 November 2019

Faida 10 za kufanya mapenzi asubuhi kiafya.

Wanasayansi wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali zinazohusu maswala ya Mapenzi na wengi wao wanagundua kuwa kufanya ngono ama mapenzi si tu kujihisi au kujisikia vizuri.

Pia inaweza kuwa nzuri kwa ajili ya Afya zenu. Hapa ni kile ambacho maisha ya kimapenzi kiafya yanaweza kufanya kwa ajili yenu au yako. Soma zaidi hasa kwa wanandoa ufahamu faida hizi za kushangaza za kufanya mapenzi asubuhi.

FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI ASUBUHI

i) Husaidia kuweka mfumo wa kinga yako vizuri

ii) Inaongeza hamu ya kufanya mapenzi zaidi/ boosts libido

iii) huimarisha kibofu cha mkojo kwa Wanawake.

iv) Hupunguza shinikizo la damu.

v) Huhesabika kama moja ya Zoezi.

vi) hupunguza hatari ya kupata shambulio la moyo.

vii) Hupunguza maumivu ya mwili

viii) Inaweza kupunguza uwezekano wa kupata kansa ya tezi dume / Prostate Cancer

ix) Inaboresha hali ya usingizi

x) Hupunguza Msongo wa Mawazo
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger