juu

Tuesday 26 November 2019

Meseji nzuri ya kumwabia umpendaye kuwa unampenda

Related imageT.gifMeseji nzuri ya kumuonyesha mpenzi wako jinsi gani umejitolea kwake

Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na maumivu yake ndani yangu.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kumtumia mpenzi wako kumuahidi kuendelea kumpenda daima

Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! "NAKUPENDA MALAIKA WANGU"

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji nzuri ya kumwabia umpendaye kuwa unampenda

nimetuma ndege wangu auzunguke ''moyo'' wako kwa '' upendo
'' auguse ''uso'' wako kwa ''faraja'' na mwisho
akunong'oneze sikioni taratibu kuwa nakupenda.

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya kumuomba mpenzi wako asikuache kwa kuwa unampenda sana

Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu,
siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu
muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.
"NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya kumuomba mpenzi wako asikuache kwa sababu na wewe haupo tayari kumuacha

Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata
ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha

πŸ”₯♥♥♥


T.gifMeseji ya namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda

Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu Yenye
Kuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha Mioyoni
Mwetu,hutamkwa Kwa Kauli Bashasha,nakshi Na Hofu Ndani
Yake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi Ninavyokujali
Nakupenda Mpz

πŸ”₯♥♥♥


T.gifUjumbe wa kumtumia mpenzi wako kumwambia akufanye wa kipekeee

mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi ni
maradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi ni
kiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishe
maishani mwako na uwe asali moyoni mwangu

πŸ”₯♥♥♥


T.gifSMS ya kimahaba kumueleza mpenzi wako maana ya mapenzi, Mapenzi ni nini?

Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, wale
wanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huita
ndoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, na
mimi, mwisho wangu ni wewe.

πŸ”₯♥♥♥

Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger