juu

Monday 25 November 2019

Mwanaume yoyote anayejua kupenda lazima atafanya haya kwa Mpenzi wake.




Mpenzi mzomaji wa makala zetu kama bado rafiki yako hajapakua APP inaitwa “MWALIMU WA MAPENZI” Mkumbushe aweze kupata Majambizi haya ambayo hayapatikani popote pale.
Mwanaume ni kiumbe ambaye ana sifa za kila aina anaweza kuwa Mkali, Pole, Mnyenyekevu,Mwenye hasira inategemeana na mazingira. Achilia mbali sifa hizo tajwa hapo. Mwanaume yoyote anayejua kupenda lazima atafanya haya kwa Mpenzi wake.
1. Hupiga simu mara kwa mara kumuulizia mpenzi wake anaendeleaje

2. Hujihisi vibaya pale anaposahau siku ya kuzaliwa (birthday) au siku mliyoanza mahusiano (anniversary) na huomba msamaha

3. Hushukiza na zawadi mbalimbali hata kama sio muda maalumu. Anakua sio mtu wakusubiri matukio ndo ampe Mpenzi wake zawadi. Kwake suprises ni kitu cha kawaida sana.

4. Mara kwa mara hukuambia “NAKUPENDA”

5. Anajua kufanya mapenzi na wewe

6. Anajua jijnsi ya kujali, kukumbatia, kuchumu na kutimiza mahitaji ya kimahaba kwa mpenzi wake

7. Huhisi kuumia pale mpenzi wake anapopitia hali ngumu

8. Hupenda kuona mpenzi wake ana furaha na hutamani kufurahi pamoja

9. Siku zote hutafuta muda mzuri kutumia pamoja na mpenzi wake

10. Kamwe hawezi kumpiga au kumuumiza kisaikolojia mpenzi wake

11. Huoa bila kusubiria sanaaaa.

12. Husamehe na kusahai pale anapoumizwa hisia zake

13. Hatotumia siri au udhaifu wako kukufanyia mabaya

14. Hatotangaza kama mpenzi wake ana madhaifu fulani

15. Ni mvumilivu na tayari kufanyia usulihisho kwenye matatizo ya uhusiano wake

16. Anajua kwamba ni muhimu kwa mpenzi wake kutumia muda wake akiwa na marafiki zake, ndugu na familia yake

17. Kamwe hawezi kutoka nje ya uhusiano wenu ( will not cheat on you)

18. Hawezi kuwachokoza marafiki zako wakike mpaka point ambayo itakuwa inakuboa au kukupa mashaka

19. Hawezi kwenda nje ili mfanye mpenzi wake apate wivu

20. Humheshimu mpenzi wake pale awapo na marafiki na familia yake

21. Humsaidia mpenzi wake na kazi mbali mbali( mf. za nyubani au masomo)
22. Hufurahia kampani ya marafiki na ndugu wa mpenzi wake

23. Husaidia kufikia malengo na kutimiza ndoto za mpenzi wake

24. Kamwe hakatishi tamaa mpenz wake pale wanapokuwa wanaongea

25. Hujali sana kuhusu mawazo, hisia na ushauri wa mpenzi wake

26. Mara nyingi huwepo pale mpenzi wake anapohitaji msaada

USISAHAU KUSHARE APPLICATION HII KWENYE MAGROUP YA WHATSAPP YOTE
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger