juu

Sunday 24 November 2019

Makosa sita ambayo wanaume hufanya kabla ya kufanya mapenzi!




– Kila mtu hupenda kufurahia akifanya mapenzi lakini kuna mambo kadhaa ambayo wanaume hufanya yanayoharibu mood ya wakati huo muhimu

Mwanaume halisi hufaa kumfurahisha mpendwa wake kabla ya kula uroda naye. Hizi hapa ndizo vizuizi sita ambazo upoza moto wa mpendwa wako kabla ya kufanya mapenzi.

1. Ulevi Ulevi hupunguza uwezo wa mwanaume kufanya mapenzi Ulevi hupunguza nguvu za kiume. Wakati mwanaume amelewa, pombe huchukua akili yake na hata mwili wake wote kuvunja uwezo wake wa kiume hasa wakati huo mkewe anamhitaji. Habari nyingine: Pigo kwa Moses Wetangula baada kupewa ujumbe wa ‘kusikitisha Ili kuwa na mchemko kitandani, epukana na mvinyo na zaidi, pombe kali!

2. Kutotumia mpira Hii hasa ni kwa wale hawajaoana au huo ndio mpango wao. Ni vizuri mwanaume avae kondomu si kwa kujikinga yeye mwenyewe, bali pia mkewe. Inaweza mnkosesha mwenzio hamu ya kufanya mapenzi iwapo ndiye atakayekubea kondomu.

3. Kutoenda haja Wanaume wengi hufanya kosa kubwa sana kutoenda haja kabla ya kuanza mapenz. inakinaisha kuona mwanaume wakati amesimamisha anataka kukojoa.Si vizuri wakati mnaendelea kufanya mapenzi uanaachia katikati ili uende haja. Atapoa! Habari nyingine: Inashangaza: Mume amuuza mkewe kwa mtalii!

4. Kutumia dawa au vinywaji vya kuongeza nguvu Wanaume wanafaa kusahau kabisa kutumia dawa au vinywaji vya kuongeza nguvu za kiume . Wanaume wanafaa kusahau kabisa kutumia dawa au vinywaji vya kuongeza nguvu za kiume kabla ya kushiriki mapenzi. Habari Nyingine: Mbunge muasi wa ODM akatazwa kumwona Raila Dawa hizi kama viagra huleta msukumo wa kufanya mapenzi haraka na katika dakika chache lakini madhara yake hudumu kwa muda mrefu

5. Kula sana Wanaume wengi hufikiri kula sana kutawapa nguvu zaidi ya kufanya mapenzi lakini sivyo. Kushiba sana kwaweza leta maumivu na kutoridhika wakati wa kufanya mapenzi. Habari Nyingine: Mbinu tisa za kumfanya mumeo akupende zaidi Baada ya kula sana, mwili hutumia nguvu nyingi kwa kusaga chakula na hivyo hupenguza nguvu za kufanya mambo mengine ikiwemo ngono. Hivyo mwanaume huchoka haraka.

6. Kuongea sana Ni kweli wanawake hupenda maogezi ya kimahaba kabla ya kufanya mapenzi ili kuwapa hisia za kimapenzi. Lakini nayo ikiwa zaidi huboeka sana. Habari Nyingine: Mkuu wa Itifaki(Protocol) wa Raila ajiuzulu kwa kuhangaishwa Pia, kuuliza maswali mengi kabla ya kufanya mapenzi kwaweza mweka mwenzio kando! Ulaji uroda waweza athirika kwa mambo kadhaa. Wanaume wengi huwa na woga wa kutowatosheleza wapenzi wao ilhali wengine huona vijembe vyao vidogo sana na hii huwakosesha amani hivyo kuwa wabovu zaidi kitandani
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger