Kosa La 9 ni kuwa kimya na kuonyesha uso usio na hisia kama robot
Kuwa kimya wakati wa kufanya mapenzi (labda mwenzako awe amekuomba uwe kimya) ni njia ya haraka kumfanya mpenzi wako ajisikie kwamba yeye sio mtamu au anachokufanyia hukipendi. Wanawake wengi wanalalamika juu ya hili kwa hiyo usipuuze.
Kila mara wanahisi wanafanya mapenzi na robot ambae hana hisia na pia najua usingelipenda hili, kuna mambo machache unatakiwa kuyafanya kama unataka kumaliza tatizo hili:
Jaribu kutoa sauti kama anafanya kitu unachokipenda.
Onyesha hisia zako kupitia uso.
Msifie taratibu kwa sauti ya chini na ya upole kama anafanya kitu unakipenda.
Kosa la 8 – Usiwe kiongozi wakati wa kufanya mapenzi
Katika matukio mengi, wanawake wanataka wawe wanaongoza na kuwa na mpenzi ambaye ana nguvu,zaidi akionekana akiongoza katika mahusiano yako, Kuwa kimya sana wakati wa kujamiana hakuna sauti zozote zinazoonyesha kwamba mnafurahiana ndio sababu ambayo mara kwa mara inapelekea mahusiano kuanza kufifia
Unaweza ukamaliza matatizo hayo kirahisi kama utafuata yafuatayo:
Amini uwezo wako wa kufanya mapenzina utumie dondoo hizi ufikie hali ya juu kujisikia wewe ni bora.
Jaribu kuwa na sifa hizi kama mwanaume bora zaidi.
Muongoze kwa kumwambia kitu gani unakwenda kumfanyia wakati unakwenda kumfanyia.
Mwambia nini utapenda kutoka kwake na uchukue mikono yake na upeleke unapotaka iwepo.
Weka kichwani hili: Ingawa muda unavyozidi kwenda,kila mwanamke atataka kuongoza na kukuendesha kufikia kileleni, hii haitakuwa kawaida, mwanaume ndio kazi yake kuwa kiongozi wakati wa kufanya mapenzi.
Kosa La 7 – Kuficha Unachokiwaza kuhusu mapenzi
Wanawake wengi wanalalamika kwamba maisha yao ya mapenzi yanaangukia katika mzunguko na kwamba wapenzi wao hawaji na aina nyingine ya kufanya mapenzi. Kwahiyo kwanini ushirikiane na mwenzio kile unachokifikiria kikiwa ni maalum tena mkiwa katika mahusiano ya siku nyingi.
Ukitaka kumaliza tatizo hilo fanya yafuatayo:
Kuwa muwazi na mkweli kwa maongezi tena mkiwa mpo kwenye mahusiano siku nyingi.
Unaweza hata ukajaribu kumwambia unayowaza na uone jinsi atakavyopkea, kama akipenda, kila wakati unaweza ukawa unaifanya kama utani.
Pay Attention: Unaweza ukapata mengi ya kuvutia kutoka kwenye mapenzi ya aina hii, au unaweza ukajaribu aina ya mapenzi haya, huwezi jua wote mnaweza kupenda mpaka pale mtakapojaribu.
0 comments:
Post a Comment