juu

Tuesday 19 November 2019

MANENO MATAMU YA MAPENZI YA KUMWAMBIA MSICHANA.




Kwa hili naamini maneno matamu, wakati ule unapokuwa unajaribu kupata msichana umtakae maishani mwako ili uuteke moyo wake awe wako, unahitaji kujifunza jinsi ya kutumia maneno matamu

. Lakini ukumbuke si kila neno linaweza kuugusa moyo wa mwanamke. Lakini maneno matamu hufanya vitu vya kushangaza sana , humtoa nyoka pangoni.
Wakati wanaume wengine wanalalamika ni jinsi gani ilivyo vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi sana , ni kwa sababu hawatumii maneno sahihi. Watu wengi pia wanakosa maneno, wengine hata hawajui wapi pakuanzia na wataanzaje, ngoja tuanze na haya maneno yafuatayo, maneno matamu ya kumwambia msichana.

1.Macho yako ni mazuri sana, yananivuta, nashindwa la kufanya, lakini yananifanya nipotelee kwako.

2.Unanifanya niwe mwanaume bora, kwa hio naweza kustahili kwenye penzi letu.

3.Unaonekana mzuri kama malaika, nahisi nikikushika nitakuchafua.

4.Napatwa na woga ndani ya tumbo langu , natetemeka unapoweka mikono yako juu ya uso wangu.

5.Umefanya ndoto zangu ziwe za kweli.

6.Sijawahi kukutana mtu mzuri na mwenye kujali kama wewe.

7 Nakupenda sana, kiasi kwamba siwezi kujielezea hata kama nikijaribu
8 Wewe ni msichana mzuri ambae kamwe sikuwahi kukutana nae.
Unafanya huzuni zangu kupotea kwa tabasamu lako zuri.
Hapana, wewe sio mnene, uko poa na ndivyo nipendavyo.

11.Ungeweza kupata mwanaume yeyote ulimwenguni na bado umenichagua mimi.

12.Unanipa maana ya maisha yangu.

13.Sitaki kufikiria maisha yangu bila wewe katika hili.

14.Unakuaje mzuri muda wote?

15.Unanifanya nijione mwenye bahati ninapokuwa na wewe.

16.Magoti yangu huishiwa nguvu kila nikugusapo.

17.Wewe ni rafiki yangu wa kweli, najifunza kwako, na ni mtu ambae najua nitakuwa nawe, ni mpenzi wa maisha yangu, niwewe tu nilienae. Ni kila kitu kwangu.

18.Siwezi kuamini kama mtu mwema kama wewe usingeweza kuwa na mimi.

19.Sijui kama unaelewa kiasi gani ninavyokupenda.

20.Natamani niwe na wewe maisha yote, lakini muda hautoshi wa kukupenda vya kutosheleza.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger