juu

Sunday, 17 November 2019

🔥Meseji ya kumtumia mpenzi wako unayempenda sana♥♥♥

Related imageT.gifUjumbe wa kumtumia mpenzi wako kumuomba kukutana na wewe

Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie, nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu, njooo mwandani wangu nakusubiri daktari wangu.

🔥♥♥♥


T.gifMeseji ya kumtumia mpenzi wako unayempenda sana

Napenda Kuiga Na Kujifunza Nisivyovijua Lakini Kukupenda
Wewe Siwezi Kuiga Wala Kujifunza. Nakupenda Saaana

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuriiii ya kumpa mtu hai

Nakupa HAI, kwa sababu uko HAI, usingekuwa HAI, ni vigumu kupewa HAI, basi nawe wape HAI, walio HAI, maana ni bahati kuwa HAI, wengi walitamani kuwa HAI, lakini wamepoteza UHAI, Usione najidai, ila mimi naringia UHAI, Haya basi pokea HAI, ili moyo wako ufurahi.
HAIIIIIIIIIIIII!!!

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kumjulia hali mpenzi wako wakati wowote

Sio Maua yote Huonesha Upendo,
"Ni Waridi pekee"
sio Miti yote Hustawi Jangwani
"ni Mtende pekee"
sio watu wote wanaokukumbuka muda huu ni mm pekee. Uhali gani?

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri kuhusu maana ya mapenzi

mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakini
yanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala si
njaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwa
unaempenda

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri wa kumuomba mpenzi wako asikuache

Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimahaba kwa umpendaye sana

Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yako
kuwa pamoja

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimahaba wa kumwambia mpenzi wako anavyokukosha na kumuomba asiende kwa mwingine

Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kujyatibu,
napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu,
mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zako zabibu, maswahibu
yakatayonisibu hakuna atakayeweza kuyatibu, nakupenda

🔥♥♥♥

Share:

0 comments:

Post a Comment

Translate

sam magelle

Main Menu Links

HABARI KALI ZAIDI

HABARI ZILIZOPITA

CHAGUA HABARI na sammagelle.com

Copyright © juu | Powered by Blogger