Home
About
Support
Contact
Advertise
juu
Home
MAPENZI
UDAKU
SIMULIZI
BURUDANI
SMS
MAISHA
Menu
Home
Business
Internet
Market
Stock
Downloads
Dvd
Games
Software
Office
Parent Category
Child Category 1
Sub Child Category 1
Sub Child Category 2
Sub Child Category 3
Child Category 2
Child Category 3
Child Category 4
Featured
Health
Childcare
Doctors
Uncategorized
Tuesday, 5 November 2019
Makosa yanayofanywa na wanaume katika mahusiano.
MKALIMANGI BLOG
November 05, 2019
MAPENZI
No comments
Kuna mambo ambayo mtu anaweza kufanya pasi na kujua kuwa anafanya makosa. Ikija katika masuala ya mahusiano, wanaume wengine huchukulia kama mzaha. Wakishafaulu kutongoza na kumteka hisia mwanamke, wao hujisahau na kuanza kuishi nao kama mtu wa kawaida.
Leo tumekuja na ujuzi wa kukuonyesha makosa ambayo unaweza kuwa unayafanya bila kujua kuwa yana athari. Kiufupi ni makosa ya kijinga ambayo yanaweza kuepukika kirahisi iwapo utayafuatilia.
Hii ni muhimu kwa kuwa ukiachana na makosa haya basi unaweza kudumu katika mahusiano marefu na mpenzi wako zaidi.
Yafutayo ndiyo makosa yanayofanywa na wanaume katika mahusiano;
Unasahau kujijenga kibinafsi
Kosa lengine ambalo wanaume hujipata katika uhusiano ni pale ambapo wanatelekeza majukumu yao ya kujiendeleza kimaisha. Wanasahau mambo ambayo walikuwa wakifanya ama walikuwa wakitarajia kufanya kabla kuingia katika uhusiano wa kimapenzi.
Kusahau marafiki zako
Ni kawaida kupunguza mawasiliano na marafiki zako pindi ambapo utaingia katika mahusiano ya kimapenzi na mwanamke. Lakini hii haimaanishi kuwa hufai kuwasiliana nao kabisa. Marafiki zako watabaki kuwa marafiki zako. Mwanzo kabla kuingia katika mahusiano marafiki zako walikuwepo. kwahiyo swala hili usilipuuze kwa kuwa bado marafiki zako wako na umuhimu mkubwa katika maisha yako.
Kuacha kutimiza ndoto zako
Kama tulivyoeleza katika hoja ya pili, maisha hayaishi pindi utakapoingia katika mahusiano. Mahusiano kikawaida yako na yatazidi kuwapo. Usikatishe furaha ama ndoto zako. Kama ulikuwa una mipango ya kufanya jambo fulani katika maisha basi ni jukumu lako kuhakikisha kuwa ndoto hio inatimia.
Kuzama akili yote katika mahusiano
Kuna wanaume wengine wakiingia katika uhusiano na mwanamke basi wanajisahau kabisa. Maisha yao yote yanabadilika na kuzungukwa na mwanamke huyu. Wako tayari kufanya lolote au chochote kwa sababu ya huyu mwanamke. Hii si tabia nzuri kwa sababu huyu mwanamke hataenda mahali. Atakuwa na wewe muda mrefu hivyo hupaswi kufanyika kana kwamba huyo mwanamke ni kila kitu kwako.
Kuishi kwa mazoea.
Hii itatokea pale ambapo wewe na mpenzi wako mnaishi katika maisha ya kujirudia. Ni kama mumetengeneza ratiba ya kuyapeleka maisha yenu. Jumamosi hadi Ijumaa kuna ratiba ambayo munaifuata. Kuishi katika maisha kama haya kunaboesha na kuchosha. Mahusiano yenu hayana utofauti na vile mwaka jana ilivyokuwa. Mwanaume anapaswa kubadilisha mtindo huu.
Mfano anapaswa kumsaprize mwanamke na mambo tofauti tofauti ambayo hakuyatarajia
Share:
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
← Newer Post
Older Post →
Home
0 comments:
Post a Comment
Search for:
Translate
Live Traffic Stats
sam magelle
MMILIKI WA MTANDAO HUU
MKALIMANGI BLOG
View my complete profile
Main Menu Links
HABARI KALI ZAIDI
Romantic Good Morning Messages For Wife
Dear wife, since you have come into my world, you have made my life colorful more than the summer rainbows and sky. Grateful to God for se...
SMS NZURI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA UMPENDAYE.
Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani, nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo, utakuwa wangu siku dear! Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya, ...
FUPIIIII LAKINI TAMU SEHEMU YA SITA
ILIPOISHIA SEHEMU YA TANO“ Tulimsikilizia Wakwetu, adi vishindo vyake vilipo toweka, mama mdogo akaanza kucheka na sisi wote tuka cheka, kw...
SMS nzuri kwa ajili ya kumtumia mpenzi wako kumwambia sababu ya kumpenda♥♥♥
Meseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe siki akawa mkali. ...
Mapenzi ni matamu sana,
Pendo la dhati lina sifa zifuatazo,kuvumilana,kusubiriana,kujaliana,kushauriana,na La Mwisho Ni Mimi Na Wewe. * ♥ °·°* Neno Nakupenda Huta...
I love you mpenzi wangu,
Raha ya ucngz ni ucngz ”tamu”ya penzi ni ndoto .Na furaha ya ndoto ni yule umpendaye kwa dhati,nitafurahi nikiwa mimi, Kipepeo kipeperush...
Njia Sita za Kumnasa Demu Mkali Ambaye Anaekiki Mtaa Mzima.
KUNA watu wamezaliwa wakiwa na hofu kubwa ya kuwaogopa mademu wazuri. Kuna mwingine akimuona demu mzuri mtaani, anajisemea kabisa k...
KUPATA MAUTUNDU YA KIZUNGU HAPA
Extra Important Tips For Surviving A Long- Distance Relationship KUYAPATA MAMBO HAYA KIUNDANI BONYEZA <<<HAPA>>>
100 Love Messages For Her: Say It Right And Say It Well!
You know your girlfriend is perfect since she is the one that you have always dreamt of.
SMS NZURI ZA KUMTUMIA MPENZI WAKO
Kila wakati nimekuwa nikisema ya kwamba maneno mazuri yana mchango mkubwa sana katika mahusiano ya kimapenzi. Hivyo kila wakati...
HABARI ZILIZOPITA
►
2022
(22)
►
November
(8)
►
May
(5)
►
April
(9)
►
2020
(74)
►
August
(1)
►
June
(8)
►
March
(7)
►
February
(6)
►
January
(52)
▼
2019
(1646)
►
December
(278)
▼
November
(432)
Jinsi Ya Kumsisimua Mwanamke Kabla Ya Kulala Naye
Ili Mpini usimame vizuri ni lazima:🔥 🔥
Mambo muhimu ambayo ukimfanyia mpenzi wako yatazid...
Jinsi gani ya kuongea na msichana bila kupungukiwa...
SMS-TAMU-MPYA-ZA-MAHABA
Ukiona Dalili Hizi Ujue Mpenzi Wako Anachepuka
Athari Za Mapenzi Mahala Pa Kazi
Umuhimu wa Tendio la Ndoa Kiafya
Jinsi Unavyoweza Kujua Uko Kwenye Mahusiano Hatari...
Mambo 5 Ya Kufanya Ili Mpenzi Wako Azidi Kukupenda
SMS Za kumsihi mpenzi wako asikuache
hatua ya kuamua kuelekea marafiki wapya
Jinsi ya kujishughulisha na uhusiano mpya wa upendo
Hiki ni kitu muhimu kwa kila mwanamke kukizingatia
Zifahamu njia za kudumisha uhusiano wako
Maneno 4 Rahisi Lakini Muhimu Ambayo Mke Anahitaji...
Njia 5 za Kudumisha Mahusiano ya Mapenzi
Faida tano (5) za kuoa au kuolewa na mtu sahihi
Mambo muhimu mnayopaswa kufanya ili kuyafurahia ma...
Sababu za wanaume wengi kukimbiwa na wanawake
Njia zitakazowasiaidia muweze kudumu katika mahusi...
Mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kujiingiza kat...
Njia 10 mbadala za kutongoza kwa macho ambazo hufa...
Tabia hii ni hatari sana katika mahusiano yako ya ...
Uhusiano uliopo kati ya kazi na wito
Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Akupende zaidi
Hatua Muhimu Kabla Ya Kufanya Mapenzi
Wanaume Tuache Ubahili Tuwatunze Wapenzi Wetu
Mume wangu anataka staili za ajabu tukifanya mapen...
Sehemu 6 za kumshika mwanamke wakati wa tendo la ndoa
Faida za Kufanya Mapenzi Mara Nyingi Hizi Hapa…
KAZI ipo! Atakae Muoa Mrembo Sanchi Ajipange
Enyi Wanaume Ishini na Wake Zenu Kwa AKILI" La Siv...
Mambo 6 Yakuzingatia Katika Mahusiano Ya Kimapenzi
Michongo 4 Rahisi -Jinsi Ya Kumuapproach Mwanamke
Ushauri maalumu kwa wanaume kuhusu wanawake katika...
Jambo muhimu unalopaswa kujifunza kwenye mahusiano
Hapa ndipo ambapo wanaume mnayumba wakati wa kuton...
Meseji nzuri Za salamu kwa umpendaye
Vifahamu vitu vidogo vidogo ambavyo huzidisha utam...
Maneno 4 Rahisi Lakini Muhimu Ambayo Mpenzi wako A...
Njia 4 za Kuzuia Migogoro katika Mahusiano
Jinsi ya Kujua kama Umemfikisha kweli Kileleni na ...
Njia za kuongeza ladha ya mapenzi na umpendaye
Je unafaham faida 6 za kudeka penzini?
SMS nzuri sana za Kimahaba
Hizi njia nzuri za mawasiliano katika mahusiano
Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Akupeze Ama Akumiss
Kwa Nini Wanawake Wanapenda Wanaume Masharobaro ak...
Sababu Za Kwanini Unamkumbuka Ex Wako Mara Kwa Mara
SMS tamu kwa ajili ya kumtumia umpendaye
Makosa 5 Makubwa Wanaume Hufanya Kwa Mwanamke
Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Apandwe Na Nyege Kwa Ku...
Misemo 10 Ya Mapenzi Ya Kweli
FAHAMU MBINU ZA KUMUOMBA MSAMAHA MWENZI WAKO PALE ...
SMS ya kumwomba mpenzi wako msamaha unapomkosea
FANYA Yoote Ufanyayo..Lakini Mwisho Unapaswa Ujue ...
Sababu yatajwa wanaume wengi kukosa nguvu za kiume
Fanya Haya Kufufua Upya Penzi Lako Mwaka 2019
Jinsi Ya Kumridhisha Mwanamke mwenye makalio Kitan...
Njia Sita za Kumnasa Demu Mkali Ambaye Anatingisha...
Mbinu 3 Za Kumfanya Mwanamke Avue Nguo Mwenyewe
Ukubwa Wa Tatizo La Kukosa Hamu Ya Kufanya Tendo L...
SMS Za kumsihi mpenzi wako asikuache
Sababu za kuporomoka kwa mahusiano mengi ya mapenzi .
Siri za kudumu katika mahusiano ya kimapenzi .
Sifa 10 Bora Za Mwanamke Mwema
Meseji nzuri Za kumjalia hali umpendaye
Jinsi ya kumchangamsha na kumfurahisha mwanamke
MADHARA ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu
Mambo yatakayomfanya mumeo akupende zaidi
Njia za kudumisha uhusiano wa kimapenzi
Mambo sitini (60) ya kumwambia mpenzi wako katika ...
Kama unataka kudumu katika mahusiano yako epuka ku...
Mambo muhimu unayopaswa kufanya ili kumfurahisha m...
Zijue sifa za mpenzi bora katika mahusiano
SMS ya mshale wa mapenzi kwa umpendaye
Hizi Ndizo Mbinu Za Kumpata Mwanamke Yoyote Ndani ...
Wanawake Wengi Hupenda Kudanganya Mambo Haya
Njia rahisi za kuwavutia wanawake kihisia na kufan...
Jifunze namna unavyoweza kupenda tena baada ya kua...
Maneno sita ya kumfurahisha mpenzi wako
WANAWAKE WENGI WANADANGANYA KUWA WAMEFIKA KILELENI...
Sentensi 3 Zinazotajwa Kawaida, Ambazo Mwanamke Ha...
Faida za kuoa & Kuolewa na mtu sahihi katika Mapenzi
Njia 6 za Kumfanya Mpenzi Wako Ashikamane Nawe
Dalili atakazo kuonyesha Mwanaume aliyekuchoka
Mwanamke;Kama Unatabia Hizi Saba Lazima Mwanaume A...
SMS ya kumwomba mpenzi wako akuthamini kwa sababu ...
😍Mridhishe Mpenzi Wako Kwa Kufanya Haya Kitandani.
Jinsi ya Kumpagawisha mpenzi wako kwa kuchezea G-S...
Jinsi ya kumpagawisha mwanamke asikusahau kwenye t...
Hizi ndizo Sehemu zinazompa mwanamke raha
Jinsi ya kuchezea Kinembe cha mwanamke kwa style y...
Mwanamume atakuchukia sana ukimfanyia mambo haya k...
Unataka Mapenzi Moto Moto Kitandani….Kunywa Uji……
Njia rahisi ya kumuomba msamaha Mpenzi wako
SMS ya kumwambia mpenzi wako hutomuacha na kumuony...
Mambo 7 yatakayo kusaidia kulinda mahusiano yako
Jinsi Ya kuzungumza na Mpenzi aliyekasirika
►
October
(23)
►
September
(271)
►
August
(456)
►
July
(12)
►
June
(123)
►
May
(51)
CHAGUA HABARI na sammagelle.com
BURUDANI
(55)
HABARI
(9)
MAISHA
(42)
MAPENZI
(1542)
MICHEZO
(6)
SMS
(55)
UDAKU
(15)
Copyright ©
juu
| Powered by
Blogger
0 comments:
Post a Comment